SERIKALI YA LAMU NA YA KITAIFA ZASHIRIKIANA KUPEANA CHAKULA CHA MSAADA
Sehemu nyingi nchini zinapoendelea kukabiliwa na makali ya njaa na ukame serikali ya kaunti ya Lamu ikishirikiana na serekali kuu zimeanzisha mpango wa kupeana na chakula cha msaada kwa familia elfu kumi na mbili katika kaunti ya Lamu. Kutokana na hali hiyo, Vijiji ambavyo vinavyolengwa ni pamoja na Bargoni, Basuba, Kiunga, Kiongwe, Lumshi, maisha Masha, […]
SERIKALI YA LAMU NA YA KITAIFA ZASHIRIKIANA KUPEANA CHAKULA CHA MSAADA Read More »



