Janet Mumbi

WANANCHI WA WADI MBALIMBALI KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE VIKAO VYA UMMA KUTOA MAONI

Mkurugenzi anayehusika na vikao vya umma vya kutoa maoni kuhusiana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika jamii kaunti ya Kilifi Mlewa Katana ameandaa kongamano na wenyeji pamoja wasimamizi wa maeneo wadi kaunti ya Kilifi. Akizungumza na Lulu Fm baada ya kukamilisha mkutano huo ambao umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Malindi kaunti ya Kilifi, […]

WANANCHI WA WADI MBALIMBALI KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE VIKAO VYA UMMA KUTOA MAONI Read More »

AMASON KINGI AMTAKA GAVANA GIDEON MUNG’ARO KUJITENGA NA MAANDAMANO

Spika wa Bunge la Seneti Amason Kingi amemtaka gavana wa kaunti ya Kilifi, Gideon Maitha Mung’aro kujitenga na masuala ya maandamano ambayo yamekuwa yakipangwa na muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kufanyika kesho Jumatano. Kulingana na Kingi licha ya gavana Mung’aro kuchaguliwa kupitia chama Cha ODM, anapaswa kuwa karibu na viongozi wa muungano wa Kenya

AMASON KINGI AMTAKA GAVANA GIDEON MUNG’ARO KUJITENGA NA MAANDAMANO Read More »

BELIO KIPSANG AWATAKA WALIMU KUJIANDAA KUANZA MASOMO YA NGAZI YA CHINI

Huku kongamano la walimu likiingia siku yake ya tatu leo Jumatano kwenye kaunti ya Mombasa, wadau wa sekta ya elimu wamekubaliana na agizo la rais William Samoei Ruto kuwa wanafunzi wa ngazi ya chini ya sekondari wasalie katika shule za msingi. Akimwakilisha Rais Ruto kwenye kongamano hilo, katibu katika wizara ya elimu nchini Belio Kipsang

BELIO KIPSANG AWATAKA WALIMU KUJIANDAA KUANZA MASOMO YA NGAZI YA CHINI Read More »