KCA YATOA WITO KWA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI
Mwenyekiti wa Muungano wa wanahabari nchini Kenya Correspondents Association(KCA), William Oloo Janak ametoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana na waandishi wa habari ili kupata taarifa kwa urahisi kwenye taasisi za Kiserikali ili kuwajuza kiukamilifu wananchi yanayojiri nchini. Akizungumza kwenye kongamano la waandishi wa habari mjini Kilifi kaunti ya Kilifi, Oloo amesema wanahabri mbalimbali kanda ya […]
KCA YATOA WITO KWA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI Read More »



