lulufm

BAADHI YA VIONGOZI WA LAMU WAJITENGA NA MADAI KUONDOLEWA KWA MPANGO WA BASARI

Viongozi wa kaunti ya Lamu wamepinga madai ya kuondolewa kwa mpango wa ufadhili wa masomo ya wanafunzi, kupitia basari za serikali ya kaunti hiyo. Wakiongozwa na Gavana kaunti hiyo Issa Timamy, amejitenga na madai hayo akisema kuwa ni propaganda, zinazoendelezwa na baadhi ya watu na wala sio uamuzi wa serikali ya kaunti ya Lamu. Kwa

BAADHI YA VIONGOZI WA LAMU WAJITENGA NA MADAI KUONDOLEWA KWA MPANGO WA BASARI Read More »

WENYEJI WA MOMBASA WATAKIWA KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KIDINI

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa wametakiwa kudumisha amani na umoja na hata kuweka kando tofauti zao za kidini, hasa msimu huu wa sherehe za Krismasi. Haya ni kwa mujibu wa gavana wa kaunti hiyo AbdulSwamad Shariff Nassir, ambaye amesema kuwa wananchi katika kaunti hiyo, hawapaswi kutengana kwa misingi ya dini na badala yake wanapaswa kuungana

WENYEJI WA MOMBASA WATAKIWA KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KIDINI Read More »