NICK SALAT ATAKIWA KUTOJIBIZANA NA GIDEON MOI
Chama cha KANU (Kenya African National Union) tawi la kaunti ya Kilifi, kimetoa wito kwa katibu mkuu wa kitaifa wa chama hicho Nick Salat, ambaye pia alikabidhiwa barua ya kubanduliwa mamlakani siku chache zilizopita, kutojibizana na mwenyekiti wao Gideon Moi. Kulingana na katibu mkuu wa chama hicho Alex Mwanza, amemtaka Salat kufuata maagizo ya Moi […]
NICK SALAT ATAKIWA KUTOJIBIZANA NA GIDEON MOI Read More »

