Uncategorized

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amethibitisha kuwa kaunti ya Kakamega kutoka mkoa wa Magharibi ndio itakuwa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa bingwa afrika maarufu kama Chan huku uwanja wa Bukhungu ukiwa kati ya viwanja ambavyo vinatarajiwa kutumika. Kwa sasa uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa ajili ya mashindano hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA Read More »