HABARI

PROFESA RAPHAEL MUNAVU ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA JOPO LA KUTATHMINI MTAALA WA CBC.

Rais wa taifa hili Dktr William Kipchirchir Arap Samoei Ruto, ameunda jopo la wataalumu wa masuala ya elimu, ili kutathmini utendakazi wa mtaala mpya wa umilisi wa CBC na kumteua profesa Raphael Munavu, kuwa mwenyekiti wa jopo hilo. Jopo kazi hilo litafanya tathmini ya mtaala huo na kusoma sheria zote zinazosimamia sekta ya elimu ya […]

PROFESA RAPHAEL MUNAVU ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA JOPO LA KUTATHMINI MTAALA WA CBC. Read More »