SEKTA ZILIZOGATULIWA KUSALIA KWENYE SERIKALI ZA KAUNTI
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amesema serikali kuu itazigawia serikali za kaunti mgao wao kulingana namna kaunti husika ina uwezo wa kuzitumia fedha hizo kwenye masuala ya maendeleo. Akizungumza wakati wa kikao cha 18 cha Baraza la Bajeti ya Serikali na Uchumi, mkutano wa pamoja kati ya Serikali ya kaunti na ya kitaifa Gachagua amesema […]
SEKTA ZILIZOGATULIWA KUSALIA KWENYE SERIKALI ZA KAUNTI Read More »



