MIKAKATI YAWEKWA TANA RIVER KUDHIBITI VISA VYA WIZI WA MITIHANI WA KIDATO CHA NNE
Mkurugenzi mkuu wa elimu kaunti ya Tana River Khalif Hassan amesema mikakati thabiti imewekwa na idara usalama kwa ushirikiano na wizara ya elimu kuhakikisha hakuna visa vyovyote vya wizi wa mitihani vinashuhudiwa kutoka kwa watahiniwa wa kidato cha nne KCSE kwenye kaunti hiyo. Hassan amesema Jumla ya wanafunzi 2,120 wakiwemo wasichana 971 wanatarajiwa kufanya mtihani […]
MIKAKATI YAWEKWA TANA RIVER KUDHIBITI VISA VYA WIZI WA MITIHANI WA KIDATO CHA NNE Read More »



