HABARI

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi anatarajiwa kumwakilisha rais William Ruto kwenye mkutano muhimu nchini Uingereza kuanzia hii leo. Kulingana na afisi yake Mudavadi ameondoka nchini hapo jana akielekea Uingereza kuhudhuria mkutano wa kibiashara la mataifa wanachama wa jumuiya ya madola yani common wealth trade and investment summit. Ni mkutano ulioandaliwa na baraza la kibiashara […]

Read More »

RAILA ODINGA ANGALI ANASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUANDAA MAANDAMANO

Kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameshikilia kuwa jumatano ya wiki hii itakuwa siku ya kuweka wazi mambo yaliyofanyika katika uchaguzi wa Agosti 9 mwaka huu. Akizungumza katika mtaa wa utawala kwenye kampeni za chaguzi ndogo za uwakilishi wadi, Raila amehoji kuwa ni sharti serikali ya Kenya kwanza iwekewe vidhibiti. Raila amesema

RAILA ODINGA ANGALI ANASHIKILIA MSIMAMO WAKE WA KUANDAA MAANDAMANO Read More »

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO AMWAGIZA WAZIRI WA KITHURE KINDIKI KUIMARISHA USALAMA

illiam Ruto amemwagiza waziri wa usalama Prof. Kithure Kindiki kuimarisha usalama katikati mwa jiji la Nairobi ambapo wanasiasa wa Azimio wanapanga kufanyaa maandamano kulalamikia kuwang’atuliwa ofisini kwa makamishna watatu wa IEBC. Rais Ruto akisema ni haki kwa upinzani kuandamana, japo akaonya kuhusu uharibifu wa mali. Ni kauli iliyoungwa mkono na naibu rais Rigathi Gachagua ambaye

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO AMWAGIZA WAZIRI WA KITHURE KINDIKI KUIMARISHA USALAMA Read More »