MALINDI PROGRESIVE YALENGA KUTAFUTA HAKI BAADA YA KUPOKONYWA ALAMA
Klabu ya Malindi Progressive kutoka Malindi, klabu inayocheza ligi ya daraja la kwanza kitaifa yalenga kuanza mchakato wa kutafuta haki baada ya wasimamizi wa mechi yao jana kuisitisha na kupeana alama tatu na mabao mawili kwa wageni Balaji Epz. Kulingana na taarifa zilizofikia Tama La Spoti ni kwamba mechi hiyo ilisimamishwa na wenyeji Progressive kuadhibiwa […]
MALINDI PROGRESIVE YALENGA KUTAFUTA HAKI BAADA YA KUPOKONYWA ALAMA Read More »



