HABARI

KADI NYEKUNDU YALAZIMISHA CASEMIRO KUKOSA MECHI NNE

Kadi nyekundu aliyopewa Casemiro katika mechi ya jana Manchester United walipokuwa wanavaana na Crystal Palace dimbani Old Trafford sasa itamlazimu kukosa mechi nne mfululizo kutokana na kupewa kadi nyekundu hivi majuzi. Casemiro alipigwa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi kiungo Carlos Alcaraz katika dakika ya 34 baada ya tathmini ya kutosha kutoka kwa refa wa […]

KADI NYEKUNDU YALAZIMISHA CASEMIRO KUKOSA MECHI NNE Read More »