BUMBANI STARS IMEFANIKIWA KUFIKIA SASA
Klabu ya Bumbani Stars kutoka kaunti ya kwale imeanza kufanikiwa katika lengo lake la kufanya vipaji vya wachezaji katika eneo la lungalunga kaunti ya kwale kuonekana kitaifa. Hiyo ni kulingana na kocha mkuu wa klabu hiyo mwaduka bakari ambaye amesema kuwa mbali na azma ya kupanda madsraja hadi ligi kuu nchini lengo linasalia kuuza wachezaji […]
BUMBANI STARS IMEFANIKIWA KUFIKIA SASA Read More »



