YOUNG BULLS STARLETS KUINGIA LIGI MSIMU UJAO
Mshauri wa benchi la kiufundi la klabu ya Young Bulls ya kinadada Rishad Shedu anasema kwamba huenda klabu hiyo ikajisajili katika ligi ya fkf msimu ujao 2024/2025 na kuanza kushiriki ligi za FKF. Amethibitisha kuwa msimu uliopita klabu hiyo ilishindwa kujisajili katika ligi kutokana na kuchelewa lakini sasa kila kitu kiko tayari na hakuna mashaka […]
YOUNG BULLS STARLETS KUINGIA LIGI MSIMU UJAO Read More »



