HABARI

Al Ahly na ES Tunis Zatawala, Simba SC Ikipambania Afrika Mashariki kwenye Top 10 ya CAF

KUELEKEA msimu mpya wa CAF, Al Ahly imesalia kileleni mwa orodha ya Klabu bora bara Afrika, huku klabu ya SIMBA SC ikiwa klabu ya pekee Afrika Mashariki kutinga kwenye listi hiyo. Kumeshuhudiwa ushindani mkubwa kwenye orodha hiyo, huku ES Tunis ya Tunisia ikipanda kutoka nafasi ya tatu hadi ya pili, na kuipiku Klabu ya Rulani

Al Ahly na ES Tunis Zatawala, Simba SC Ikipambania Afrika Mashariki kwenye Top 10 ya CAF Read More »

FAINALI ZA DOLA SUPER CUP KUANDALIWA 21 – 25 AGOSTI 2024

SASA ni rasmi kwamba fainali za michuano ya Dola Super Cup Inter-County zitaandaliwa katika Kaunti ya Mombasa kuanzia Jumatano, 21 Agosti 2024 hadi Jumapili 25 Agosti 2024. Kwa mujibu wa barua kutoka kwa kamati andalizi kwa timu zilizofaulu kuingia fainali ni kwamba washiriki wote wanatakiwa kuingia kambini huko Mombasa kuanzia Jumanne 20 Agosti 2024 saa

FAINALI ZA DOLA SUPER CUP KUANDALIWA 21 – 25 AGOSTI 2024 Read More »