KIMANZI ANA IMANI NA KIKOSI CHA STARS
Kocha wa muda wa timu ya taifa Fransis Kimanzi anasema yuko na imani kikosi chake kesho kitaandikisha matokeo mazuri dhidi ya Kilimanjaro Boys katika mashindano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea Zanzibar. Kulingana na Kimanzi ni kuwa ni licha yamajeruhi machache yaliyopo kikosini bado vijana wameonyesha motisha wa kuzalisha alama tatu hiyo kesho. ”Licha ya majeraha madogomadogo […]
KIMANZI ANA IMANI NA KIKOSI CHA STARS Read More »



