Kitaifa

MZOZO WA UONGOZI WASHUHUDIWA NDANI YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA.

Vyama tanzu vya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya vinazozania nafasi finyu za uongozi bungeni huku kila mmoja akitaka kusitiriwa kwenye uongozi. Mzozo wa hivi punde ni kuhusiana na utunzi wa tume inayoshughulikia maslahi ya wabunge na wafanyikazi wa bungeni ambapo mbunge wa Sirisia John Walukhe na mbunge wa Eldas Adan Keynan wanachuana kuwania […]

MZOZO WA UONGOZI WASHUHUDIWA NDANI YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA. Read More »

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU.

Mkurugenzi mkuu wa idara ya upelelezi nchini DCI George Kinoti amewasilisha rasmi barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo ya uongozi. Haya ni kwa mujibu wa rais Dktr William Kipchirchi Arap Samoei Ruto, ambaye amesema kuwa sasa idara ya polisi nchini inapaswa kuteua atakeshikilia nafasi hiyo, kabla ya kupata yule atakekabidhiwa nafasi hiyo rasmi baada ya

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU. Read More »

ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN

Bingwa wa dunia katika mbio za masafa marefu, Eliud Kipchoge hapo aliweka rekodi mpya baada ya kukamilisha mbio za marathon za kilomita 42 ndani ya masaa 2.01.9 rekodi ambayo anajivunjia yeye mwenyewe rekodi aliyoiweka miaka minne iliyopita. Kipchoge mwenye umri wa miaka 37 sasa ndio bingwa wa dunia katika mbio za Berlin marathon akipungyuza sekunde

ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN Read More »