Kaunti

GAVANA WA LAMU AMEAHIDI KUBORESHA KISIWA CHA LAMU

Serikali ya kaunti ya Lamu imeeleza kuwepo kwa mikakati ya kukabiliana na hali ya kutapakaa kwa vinyesi vya Punda katika baadhi ya miji ya kaunti hiyo. Kulingana na Gavana wa kaunti hiyo Issa Abdalla Timamy wana mpango wa kutengeneza kiwanda kitakachobadilisha kinyesi hicho na kuwa makaa yanayoweza kutumika katika masuala ya upishi. Gavana huyo amesema […]

GAVANA WA LAMU AMEAHIDI KUBORESHA KISIWA CHA LAMU Read More »

RAIS MTEULE WILLIAM RUTO AWAPONGEZA WABUNGE NA MASENETA

Rais mteule William Ruto amewapongeza Wabunge na Maseneta walioungana kwa pamoja kuwachagua maspika wa mabunge yote mawili kwa kile alichosema kuwa wameonyesha kuwa na imani na muungano wa Kenya kwanza. Kupitia mtandao wake wa twitter, Ruto ametoa pongezi hizo baada ya Moses Wetangula kushinda kwenye kura za kuchaguliwa kwa spika pamoja na naibu wake Gladys

RAIS MTEULE WILLIAM RUTO AWAPONGEZA WABUNGE NA MASENETA Read More »