Kaunti

WENYEJI WA MANDA WALALAMIKIA KUHANGAISHA NA WANYAMAPORI

Wenyeji wa Manda kaunti ya Lamu wamelitaka shirika la huduma kwa wanyamapori KWS, kuhakikisha linabuni mbinu za kuwadhibiti wanyamapori dhidi ya kuvamia makazi ya wenyeji. Wakaazi hao wamesema wanyamapori wamekuwa wakiwahangaisha katika makazi yao wakiitaka KWS kuwaondoa wanyamapori hao ili wasiwasababishie hasara. Aidha wamesema hawana nia ya kuwadhuru wanyamapori hao hivyo ni jukumu la KWS […]

WENYEJI WA MANDA WALALAMIKIA KUHANGAISHA NA WANYAMAPORI Read More »

EMMANUEL KARISA BAYA AITAKA SERIKALI YA KILIFI KUWAJENGA UWEZO WANAWAKE KIFEDHA

Mwakilishi wa wadi ya Marafa kaunti ya Kilifi Emmanuel Karisa Baya ameitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kuwajenga uwezo wanawake kifedha sambamba na kuwapa hamasa kuhusu namna wanaweza kujiendelea kupitia makundi ya kibiashara. Baya ameutaja kama mpango ambao utasaidia kubuni nafasi za kazi kwa vijana na wanawake walio na elimu ya kifedha. Vilevile amesema mpango

EMMANUEL KARISA BAYA AITAKA SERIKALI YA KILIFI KUWAJENGA UWEZO WANAWAKE KIFEDHA Read More »

ABBAS KUNYO ATAKA BAJETI KUONGEZWA KWA SEKTA YA ELIMU TANA RIVER

Waziri wa elimu kaunti ya Tana River Abbas Kunyo amesema kuna haja ya bajeti kuongezwa katika sekta ya elimu kwenye kaunti hiyo ili kuiboresha. Kulingana na Kunyo iwapo hilo litatekelezwa bajeti hiyo itatumika kushughulikia kikamilifu miundomsingi, kuajiri walimu na vifaa katika shule za chekechea. Amesema mgao wa bajeti ambao unatengewa idara ya kidogo mno licha

ABBAS KUNYO ATAKA BAJETI KUONGEZWA KWA SEKTA YA ELIMU TANA RIVER Read More »