Kaunti

KAMISHNA WA KAUNTI YA LAMU AWATAKA WENYEJI KUWA NA SUBIRA

Kamishna wa kaunti ya Lamu Irungu Macharia amesema wenyeji wa kaunti hiyo wataendelea kusubiri kwa muda kabla ya kuruhusiwa kwa usafiri wa usiku kwenye barabara kuu ya Lamu – Witu – Garsen. Macharia amesema wanaendelea kujadiliana na vitengo husika wakiwemo maafisa wa usalama pamoja na wamiliki magari ya uchukuzi wa umma ili kuona ni lini […]

KAMISHNA WA KAUNTI YA LAMU AWATAKA WENYEJI KUWA NA SUBIRA Read More »

KAMISHNA WA KAUNTI YA LAMU ASEMA USALAMA UMEIMARISHWA

Serikali ya kaunti ya Lamu imewahikikishia usalama wa kutosha wageni pamoja na wenyeji wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe za kitamaduni zinazotarajiwa kufanyika mwezi huu. Kamishna wa kaunti ya Lamu Irungu Macharia amesema kuwa maafisa wa usalama kwenye vitengo vyote wameagizwa kushika doria kudumisha usalama ikiwa zimesalia wiki mbili pekee kabla ya kufanyika kwa sherehe hizo kisiwani amu.

KAMISHNA WA KAUNTI YA LAMU ASEMA USALAMA UMEIMARISHWA Read More »

KASSIS SAWA TANDAZA ALALAMILIA UTOVU WA USALAMA KATIKA ENEO BUNGE LAKE

Mbunge wa Matuga kaunti ya Kwale Kassim Sawa Tandaza ameitaka idara ya usalama kaunti ya Kwale kukabiliana na magenge ya kihalifu yanayowahangaisha wakaazi wa eneo hilo. Tandaza amesema kuwa siku za hivi karibuni kumekuwa na visa vingi vya uhalifu vinavyotekelezwa na vijana kwenye maeneo mbalimbali ya eneo bunge hilo. Mbunge huyo ametoa wito kwa wazazi

KASSIS SAWA TANDAZA ALALAMILIA UTOVU WA USALAMA KATIKA ENEO BUNGE LAKE Read More »