Kaunti

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO AMWAGIZA WAZIRI WA KITHURE KINDIKI KUIMARISHA USALAMA

illiam Ruto amemwagiza waziri wa usalama Prof. Kithure Kindiki kuimarisha usalama katikati mwa jiji la Nairobi ambapo wanasiasa wa Azimio wanapanga kufanyaa maandamano kulalamikia kuwang’atuliwa ofisini kwa makamishna watatu wa IEBC. Rais Ruto akisema ni haki kwa upinzani kuandamana, japo akaonya kuhusu uharibifu wa mali. Ni kauli iliyoungwa mkono na naibu rais Rigathi Gachagua ambaye […]

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO AMWAGIZA WAZIRI WA KITHURE KINDIKI KUIMARISHA USALAMA Read More »

MIKAKATI YAWEKWA TANA RIVER KUDHIBITI VISA VYA WIZI WA MITIHANI WA KIDATO CHA NNE

Mkurugenzi mkuu wa elimu kaunti ya Tana River Khalif Hassan amesema mikakati thabiti imewekwa na idara usalama kwa ushirikiano na wizara ya elimu kuhakikisha hakuna visa vyovyote vya wizi wa mitihani vinashuhudiwa kutoka kwa watahiniwa wa kidato cha nne KCSE kwenye kaunti hiyo. Hassan amesema Jumla ya wanafunzi 2,120 wakiwemo wasichana 971 wanatarajiwa kufanya mtihani

MIKAKATI YAWEKWA TANA RIVER KUDHIBITI VISA VYA WIZI WA MITIHANI WA KIDATO CHA NNE Read More »

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO ATAKIWA NA MASKWOTA WA SABAKI KUTIMIZA AHADI ALIZOTOA

Maskwota katika eneo la Sabaki kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi sasa wanamtaka rais William Samoei Ruto kutimiza ahadi zake alizotoae wakati wa kampeni ili kuhakikisha tatizo la uskwota linapata utatuzi. Maskwota hao wamesema ni wakati sasa kwa rais kutimiza ahadi yake ya kampeni ya kununua ekari milioni moja ya ardhi kama mbinu za

RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO ATAKIWA NA MASKWOTA WA SABAKI KUTIMIZA AHADI ALIZOTOA Read More »