MUUNGANO WA WANAHABARI UMEANZISHA MRADI WA KUHAMASISHA WAANDISHI WA HABARI
Muungano wa wanahabari nchini Kenya Correspondents Association(KCA), umeanzisha mradi wa kuhamasisha waandishi wa Habari katika kaunti mbalimbali nchini, kuhusu jinsi yakukabiliana na Habari gushi hususan zinazoenezwa mitandaoni. Hatua hii inajiri baada ya ripoti iliyotolewa na shirika linaloshughulikia wanahabari kifungu 19, kuonyesha kuwa asilimia 75 ya wakenya hawawezi kubainisha iwapo, Habari ni sahihi ama ni ghushi. […]
MUUNGANO WA WANAHABARI UMEANZISHA MRADI WA KUHAMASISHA WAANDISHI WA HABARI Read More »



