Kaunti

JUMLA YA WATAHINIWA 32,276 WANASHIRIKI MTIHANI WA KITAIFA WA TAALUMA MBALIMBALI KWENYE MAMLAKA YA NITA

Waziri wa leba nchini Florence Bore amesema jumla ya watahiniwa 32,276 wanashiriki mtihani wa kitaifa wa taaluma mbalimbali kwenye Mamlaka ya Kitaifa ya Mafunzo ya Viwanda ( NITA) na wanafunzi 500 wakiwa ni wa kutoka kanda ya pwani. Katika taarifa yake kwa wanahabari akiwa kaunti ya Mombasa amesema idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 45.2

JUMLA YA WATAHINIWA 32,276 WANASHIRIKI MTIHANI WA KITAIFA WA TAALUMA MBALIMBALI KWENYE MAMLAKA YA NITA Read More »

GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AWATAKA VIONGOZI WA KAUNTI HIYO KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Sharrif Nassir amewataka viongozi kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana kwa manufaa ya kizazi cha baadae. Gavana huyo amewataka kuendelea kuhubiri amani na umoja, kila wanapopanda kwenye majukwaa na kukoma kuleta migawanyiko, ambayo baadae huleta mihemko na hatimaye wengine kuchuku hatua zisizo na manufaa kwa jamii Kwa upande

GAVANA ABDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AWATAKA VIONGOZI WA KAUNTI HIYO KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA Read More »