BAADHI YA VIONGOZI WA LAMU WAJITENGA NA MADAI KUONDOLEWA KWA MPANGO WA BASARI
Viongozi wa kaunti ya Lamu wamepinga madai ya kuondolewa kwa mpango wa ufadhili wa masomo ya wanafunzi, kupitia basari za serikali ya kaunti hiyo. Wakiongozwa na Gavana kaunti hiyo Issa Timamy, amejitenga na madai hayo akisema kuwa ni propaganda, zinazoendelezwa na baadhi ya watu na wala sio uamuzi wa serikali ya kaunti ya Lamu. Kwa […]
BAADHI YA VIONGOZI WA LAMU WAJITENGA NA MADAI KUONDOLEWA KWA MPANGO WA BASARI Read More »



