MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA.
Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Hassan Joho, ametoa agizo la kuondolewa kwa mabwenyenye walionyakua ardhi za fuo za bahari kaunti ya Kwale, kwani walikiuka cha sheria za umiliki wa ardhi. Waziri Joho amezitaka afisi za kamishna wa Kwale, wizara ya ardhi ,shirika la KWS na ile ya mazingira NEMA, kutumia […]
MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA. Read More »



