Kaunti

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE.

Wanasiasa Kaunti ya Kwale wameomba jamii katika eneo hilo, kuweka Kando tofauti zao na kushirikiana na viongozi walio mamlakani. Wakiongozwa na mwakilikishi wadi wa Kasemeni Victor Safari Nyanja, amesema kwamba maeneo mengi ya Kaunti hiyo yamekosa maendeleo kutoka kwa serikali kuu, kutokana na hatua ya baadhi ya viongozi kupinga uongozi walioko mamlakani kitaifa. Akihutubia jamii […]

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE. Read More »

RAILA ODINGA AAHIDI KUSAIDIA JAMII YA KWALE KUPATA HAKI DHIDI YA MZOZO WA ARDHI YA MSIKITI CONGO.

Kinara wa ODM, Raila Odinga sasa anatisha kuwasilisha kesi mahakamani kuhusu utata uliogubika msikiti wa Congo kule kaunti ya Kwale. Raila aliyezuru eneo hilo, amekashifu mipango ya baadhi ya watu aliowataja kuwa matapeli kujaribu kuinyakua ardhi hiyo ya ekari 16, iliyo na msikiti wa jadi wa Congo. Raila amesema alitenga ardhi hiyo alipokuwa Waziri Mkuu

RAILA ODINGA AAHIDI KUSAIDIA JAMII YA KWALE KUPATA HAKI DHIDI YA MZOZO WA ARDHI YA MSIKITI CONGO. Read More »

ZAIDI YA VIJANA ELFU NNE KAUNTI YA KWALE WADAIWA KUWA KATIKA HATARI YA KUPATA VIRUSI VYA UKIMWI.

Zaidi ya vijana 4,000 wanaotumia dawa za kulevya katika kaunti ya Kwale, wako kwenye hatari ya kuambukizwa na hata kueneza maambukizi ya virusi ya Ukimwi. Haya ni kutokana na kusitishwa kwa ufadhili wa mipango ya kupunguza maambukizi hayo na shirika la misaada la Marekani – USAID na hazina ya Global Fund, ambayo imewasaidia kupata sindano mpya

ZAIDI YA VIJANA ELFU NNE KAUNTI YA KWALE WADAIWA KUWA KATIKA HATARI YA KUPATA VIRUSI VYA UKIMWI. Read More »