Kimataifa

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

Refa wa kimataifa Antonio Mateu aliyechezesha mechi ya robo fainali baina ya Uholanzi na Argentina sasa atalazimika kuachana na mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea katika taifa la Qatar. Hii ni kutokana naye kujipata pabaya baada ya uamuzi mbaya uwanjani ambao ulikashifiwa na wachezaji pamoja na maafisa wa fifa kutokana naye kuadhimu kadi 17 za

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »