Kimataifa

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA

Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola imetia guu moja ndani ya semi  fainali za uefa msimu huu baada ya kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya klabu ya Bayern Munich Katika uwanja wao wa nyumbani Etihad. Kiungo mhispania Rodri ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia Manchester City kabla ya Bernado Silver kuitendea haki assist ya […]

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA Read More »

UEFA KUREJEA LEO RASMI

Mashindano ya kombe la dunia yatakuwa yanarejea rasmi usiku wa leo katika hatua ya robo fainali na mechi mbili zimeratibiwa kurindimwa. Benfica ya ureno watakuwa wanaikaribisha inter Milan ya italia katika dimba lao la nyumbani la Estado da Luz Katika dimba la etihad Manchester City watakuwa wanawakaribisha miamba wa ujerumani Bayern Munich inayoongozwa na mkufunzi

UEFA KUREJEA LEO RASMI Read More »

PALACE YAIBUTUA LEEDS UGENINI, ARSENAL IKIPIGWA BREKI NA LIVERPOOL

Leeds United katika uwanja wao wa nyumbani  Ellan Road walitandikwa kichapo cha mabao 5-1 dhidi ya Crystal Palace huku Arsenal ikikabwa koo na kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Liverpool katika uwanja wa Anfield. Kwa matokeo hayo sasa imeshuka hadi nafasi ya nane kwenye ligi huku Arsenal ikiendelea kuselelea kileleni kwa alama 73 alama 6

PALACE YAIBUTUA LEEDS UGENINI, ARSENAL IKIPIGWA BREKI NA LIVERPOOL Read More »