VIONGOZI WA FKF TAITA TAVETA WASHAURIWA KUWA KITU KIMOJA
Ipo haja ya viongozi wa fkf katika kaunti ya taita Taveta kushirikiana pamoja na wale waliopoteza katika uchaguzi wa matawi mwezi huu kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya soka la kaunti hiyo. Ni kauli ya Mohamed Hassan maarufu kama mzazi mzoefu kocha mkuu wa klabu ya Teita Estate ambaye anasistiza kuwa viongozi wa fkf kwa […]
VIONGOZI WA FKF TAITA TAVETA WASHAURIWA KUWA KITU KIMOJA Read More »



