Michezo

RONALDO ALALAMIKIA KUKOSA HESHIMA OLD TRAFFORD

Mshambuliaji nguli wa timu ya taifa ya ureno mwite Christiano Ronaldo amelalamikia kudharauliwa na klabu yake ya sasa Manchster united. Anasema mkufunzi mpya Erick ten Hag amekuwa akimbagua na kutosikiliza mchango wake kwa timu kama mchezaji mkongwe katika klabu hiyo. Ronaldo amekuwa na kiwango kibovu msimu huu ikizingatiwa kwamba chini ya mkufunzi mpya ronaldo ameanza […]

RONALDO ALALAMIKIA KUKOSA HESHIMA OLD TRAFFORD Read More »

KOGALO IKO TAYARI KWA MSIMU MPYA – Johnathan McKinstry

Mkufunzi mpya wa klabu ya Kogalo Johnathan McKinstry anasema kwamba wanasubiri msimu mpya kuanza rasmi na analenga kutwa ubingwa wa ligi hiyo na kikosi chake ambacho anakitaja kwamba kiko na motisha na ubingwa. Johnathan_McKinstry ambaye amechukua hatamu ya uongozi wa klabu hiyo miezi mitatu ilopita anasema hahisi kuwa katika shinikizo kutokana na mashabiki wanaotaka ubingwa

KOGALO IKO TAYARI KWA MSIMU MPYA – Johnathan McKinstry Read More »

RAFAEL VARANE NA KARIM BENZEMA WAITWA NA UFARANSA LICHA YA MAJERAHA

Beki wa Manchster United ambaye anachezea timu ya taifa ya ufaransa ametajwa katika kikosi cha mkufunzi Didier Deschamps licha ya hofu za kwamba alikuwa anaandamwa na jeraha alolipata kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza. Nguli mwengine aliyejipatia nafasi katika kikosi cha ufaransa ni Oliviar Geroud ambaye anachezea AC Milan ya Italia kunako ligi ya

RAFAEL VARANE NA KARIM BENZEMA WAITWA NA UFARANSA LICHA YA MAJERAHA Read More »