Michezo

RUTO AMUAHIDI RAIS SEBASTIAN COE KUPIGA VITA UKOSEFU WA MAADILI KATIKA RIADHA

Rais William Ruto leo ameuhakikishia muungano wa riadha duniani kwamba serikali yae inalenga kushinda vita dhidi ya matumizi ya dawa za kututumua misuli atika lengo la kuimarisha uadilifu wa wanariadha atika mashindano mbalimbali ya ndani ya nchi na kimataifa. Ruto ambaye amekutana na rais wa riadha za dunia Sebastian Coe katika ikulu ya Nairrobi ameahidi […]

RUTO AMUAHIDI RAIS SEBASTIAN COE KUPIGA VITA UKOSEFU WA MAADILI KATIKA RIADHA Read More »

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Newcastle United mwite Eddie Howe amesema madai ya kwamba sajili mpya ya Al Nasr Christiano Ronaldo ameweka kipendele cha kurudi uingereza na kuchezea Newcastle iwapo itafuzu kuingia mashindano ya Uefa Champions league msimu ujao ni porojo tupu na hayana ukweli wowote. Ronaldo alitambulishwa rasmi jana kwa mashabiki wa Al Nassr

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE Read More »