DROGBA ALALAMA, IVORY COAST YATIA AIBU
Nguli wa zamani wa timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba amekiri kuwa kuna tatizo kubwa katika kikosi cha timu ya taifa akihoji kuwa matokeo yanayoonekana katika dimba la Afcon yanadhalilisha taifa hilo kwa kile anachokitaja kwamba ni aibu kuona timu inapigwa mabao mengi ilhali ndio waandaaji wa mashindano haya. Ameyasema hayo baada ya […]
DROGBA ALALAMA, IVORY COAST YATIA AIBU Read More »



