RAIS WA NIGERIA AWAZAWIDI SUPER EAGLES
Rais wa wa taifa la Nigeria amewazawidi wachezaji wa timu ya Super Eagles waliowakilishataifa hilo katika mashindano yalotamatika wikendi ilopita ya Afcon huko Ivory Coast. Taarifa zasema kwamba rais Bola Ahmed amewapa utambuzi wa Member of the Order of the Niger ambayo ni tuzo kati ya tuzo kubwa za taifa ambazo raia wa taifa hupewa […]
RAIS WA NIGERIA AWAZAWIDI SUPER EAGLES Read More »



