TONNY NGALA

IDARA YA UHAMIAJI NCHINI YATOA WITO KWA WAKENYA KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO VYA KITAIFA KATIKA AFISI HUSIKA.

Zaidi ya wakenya laki nne hawajachukua vitambulisho vyao vya kitaifa katika afisi mbali mbali, zinazo husiska na uchapishaji wa stakabadhi hizo muhimu nchini. Haya ni kwa mujibu wa idara ya uhamiaji katika serikali ya Kitaifa, ambayo imelalamikia mrundiko wa vitambulisho katika afisi zake licha yake kujitahidi katika kuwahudumia wakenya ili wapate vitambulisho vyao kwa wakati […]

IDARA YA UHAMIAJI NCHINI YATOA WITO KWA WAKENYA KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO VYA KITAIFA KATIKA AFISI HUSIKA. Read More »

SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI ATAKIWA KUTEKELEZA HAKI NA USAWA.

Spika wa bunge wa seneti nchini Amason Kingi, amewahakikishia viongozi wa bunge hilo haki na usawa, katika kuendeleza majukumu yake ndani ya bunge hilo. Hii ni baada ya maseneta kulalamikia suala la spika huyo, kuegemea upande mmoja wakati anapofanya maamuzi, ama hata kuendesha vikao vya bunge hilo. Akizungumza katika kikao maalumu cha viongozi wa bunge

SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI ATAKIWA KUTEKELEZA HAKI NA USAWA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEA KUMKEMEA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA.

Rais William Ruto ameendeleza shutuma zake dhidi ya aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, kwa madai ya kuendekeza siasa badala ya maendeleo kwa wananchi, wakati alipokuwa mwandani wake. Kulingana na Ruto, kiongozi huyo alikuwa ameangazia pakubwa masuala ya kupata uungwaji mkono, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, jambo ambalo anadai lilikuwa kinyume cha malengo ya

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEA KUMKEMEA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA. Read More »