SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUPUNGUZA IDADI YA KAMPUNI ZA VILEO.
Naibu mwenyekiti wa baraza la magavana nchini Mutahi kahiga, ameitaka serikali kuu kupunguza kampuni zilizoidhinishwa kutengeza vileo nchini, ili kuzipiga jeki juhudi za serikali za kaunti, kupambana unywaji wa pombe haramu. Kwa mujibu wa Kahiga, ambaye pia ni gavana wa kaunti ya Nyeri, kumekuwa na ongezeko la idadi ya kampuni zinazouza pombe, licha yake kutoidhinishwa […]
SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUPUNGUZA IDADI YA KAMPUNI ZA VILEO. Read More »



