Paps Mkare

OLIECH AFUNGUKA KUHUSU FKF NA AFCON 2027

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Harambe Stars Denis Oliech anasema haridhiki na jinsi ambavyo wakongwe wa soka katika taifa hili wanachukuliwa na shirikihso la soka na serikali kwa jumla. Ansema kwamba katika mataifa mengibne ya Afrika hasa Magharibi mwa afrika malegendari wanathaminiwa sana na huhusishwa katika mipango ya shirikihso la soka katika […]

OLIECH AFUNGUKA KUHUSU FKF NA AFCON 2027 Read More »