Paps Mkare

VILABU VYA KPL VYAOMBA UHAKIKA WA MWANZO WA MSIMU MPYA

Mkufunzi wa klabu ya AFC Leopards Patrick Aussems ameomba uongozi wa soka kutoa thibitisho tosha la iwapo msimu mpya wa mwaka 2022/2023 utaanza lini kwani mpaka sasa vilabu vingi viko gizani kuhusiana na mstakabali wa soka nchini Kenya. Amekuwa akiyasema hayo wakati ambapo shirikisho la soka nchini Kenya linasalia kuwa haramu baada ya kuvunjwa na […]

VILABU VYA KPL VYAOMBA UHAKIKA WA MWANZO WA MSIMU MPYA Read More »

TUSKER YAJITAYARISHA KWA MSIMU MPYA

Mkufunzi wa wanamvinyo Tusker FC mwite Robert Matano amesema kwamba kambi yake iko imara wanapojitayarisha kwa msimu mpya na wachezaji wapya waliowasajili katika dirisha la uhamisho lililofungwa wiki jana. Kulingana na Matano uongozi wa klabu hiyo umewasaidia kuunda kikosi kitakachowawezesha kungangania taji la ligi kuu msimu ujao ambao huenda ukawa ubingwa wao wa tatu mfululizo

TUSKER YAJITAYARISHA KWA MSIMU MPYA Read More »