Paps Mkare

NERO CHISHENGA ANAAMINI MSIMU UJAO FURUNZI ITAPATA MAFANIKIO

Mkufunzi mkuu wa kikosi cha Furunzi FC Nero Chishenga wa klabu hiyo ilopanda daraja hadi ligi ya daraja la pili kitaifa amehakikishia mashabiki kwamba wako imara kuelekea msimu ujao. Wikendi hii klabu hiyo iliandaa harambee ya kuchangisha hela za kufadhili mechi zao msimu ujao katika uwanja wao wa furunzi uliopo mjini malindi kaunti ya Kilifi

NERO CHISHENGA ANAAMINI MSIMU UJAO FURUNZI ITAPATA MAFANIKIO Read More »