AFISA WA DCI AFIKISHWA MAHAKAMANI KAUNTI YA KILIFI KWA MADAI YA UBAKAJI.
Afisa wa polisi wa kitengo cha DCI kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi amefikishwa mbele ya mahakama ya Kilifi kwa shutma za kumnajisi mtoto katika eneo hilo. Afisa huyo kwa jina George Nangoye amekana mashtaka matatu mbele ya hakimu mkuu mkaazi Geofrey Kimang’a. Mashtaka hayo yanajumuisha kosa la kumnajisi msichana wa miaka 16 mnamo […]
AFISA WA DCI AFIKISHWA MAHAKAMANI KAUNTI YA KILIFI KWA MADAI YA UBAKAJI. Read More »



