KOMBE LA DUNIA NCHINI QATAR LILINOGA – GIANNI INFANTINO
Mashindano ya dunia ya nchini Qatar ya mwaka huu ndio mashindano yaliyofana zaidi katika historia ya mchezo huo tangu mashindano ya kwanza nchini Uruguay miaka 92 iliyopita. Hiyo ni kulingana na rais wa shirikisho la soka kimataifa la fifamwite Gianni Infantino. Anasema kwamba kwa kipindi cha takriban mwezi mmoja mashabiki kote ulimwenguni wametosheka na burudani […]
KOMBE LA DUNIA NCHINI QATAR LILINOGA – GIANNI INFANTINO Read More »


