YANGA YASUBIRI MAJIBU YA FKF

meneja wa Timu ya Yanga Collins  Omollo, amedokeza kwamba kesi waliowasilisha dhidi ya klabu ya Ubuntu hadi Kufikia Sasa Haijaskizwa Bado, akisema tayari walienda Kuskiza Hiyo lakini bado majibu hayajatolewa.

Yanga Iliwasilisha kesi Hiyo baada ya Ubuntu kumchezesha mchezaji kinyume na Sheria, akisema kwamba sura ya Mchezaji Huyo ilikua yake ila Majina yalikua ya Mchezaji Tofauti, Kadi Ikisoma Feswal juma Ila sura Ni ya Mchezaji wa Tiki Fc.

Kufikia Sasa Yanga wanashikilia nafasi ya Pili Kutoka Chini na alama tisa baada ya Mechi Kumi na nne, Ubuntu ikishikilia nafasi ya Sita na alama thelathini baada ya mechi Kumi na nane, upande wa Tana River Sango Sportiff ukisimama Kileleni na alama arubaini na tano baada ya mechi Kumi Na tisa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *