UEFA YAIPIGA URUSI MARUFUKU
Kamati kuu ya Uefa imeitoa Urusi katika orodha ya timu za taifa zitakazo shiriki katika mechi za kufuzu kwa mashindano ya UERO mwaka 2024 taarifa ambayo imethibitishwa na shirikisho la soka la Urusi baada ya kikao cha jana cha kamati hiyo. Timu ya taifa ya Urusi pamoja na vilabu vyote vya nchi hiyo vilipigwa marufuku […]
UEFA YAIPIGA URUSI MARUFUKU Read More »



