HABARI

IRUNGU MACHARIA AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUSHIRIKIANA NA MAGAIDI

Kamishna wa kaunti ya Lamu Irungu Macharia amesema mikakati thabiti imewekwa na asasi za usalama katika kaunti hiyo ili kudhibiti visa vyovyote vya utovu wa usalama. Katika hotuba yake kwa wenyeji wa kaunti hiyo, Macharia amewaonya magaidi wa Al – Shabaab ambao wanapania kutekeleza mashambulizi kwenye kaunti hiyo na kusema idara ya usalama imejiandaa katika […]

IRUNGU MACHARIA AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUSHIRIKIANA NA MAGAIDI Read More »

Nyota Wa Zamani Wa Harambee Stars Amkingia Kifua Cristiano Ronaldo

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Harambee Stars, Bonface Ambani amemtetea nyota wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa hatashiriki mechi yao ya ligi dhidi ya Chelsea. Ambani ambaye aliwahi kuichezea klabu ya Yanga SC ya Tanzania msimu wa kati ya mwaka 2009 na 2010 , alitumia mitandao ya kijamii akisema

Nyota Wa Zamani Wa Harambee Stars Amkingia Kifua Cristiano Ronaldo Read More »

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF

Viongozi wa soka la mashinani wanasema kwamba vijana wengi kwa sasa wanazidi kusajili timu zao kucheza ligi za mashinani jambo linalotajwa kuwa michezo hasa wa soka unazidi kupendwa na mashabiki lakini pia vijana. Akizungumza na tama la spoti katribu wa soka la eneo bunge la maghatrini mwote Emmanuel kazungu amesema kuwa kwa sasa kunako ligi

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF Read More »