MASHINDANO YA SOKA MAGHARINI YAPIGWA KALENDA
Mashindano ya soka ya FKF tawi la eneo bunge la Magharini kaunti ya Kilifi sasa yamepigwa kalenda kwa muda usiojulikanana. Taarifa kwa vyombo vya habari lakini vilabu imetolewa rasmi na shirikisho hilo kupitia Emmanuel Kazungu amabaye ni katibu wa soka katika eneo hilo huku vilabu 24 kutoka eneo la gongoni vikiachwa mataani kwa sasa wakiwa […]
MASHINDANO YA SOKA MAGHARINI YAPIGWA KALENDA Read More »



