WANAWAKE WAJAWAZITO KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA KUJUA HALI ZAO ZA AFYA PAMOJA NA ZA WAUME ZAO
Afisa wa ushauri kwa wagonjwa ambao wameambukizwa virusi vya ukimwi kwenye hospitali ya Gede kaunti ya Kilifi, Mary Teresia amewahimiza wanawake kaunti ya Kilifi kujua hali zao za afya pamoja na za waume zao wanapohudhuria kliniki wanapokuwa wajawazito. Teresia amesema hatua hiyo itachangia kupunguza visa vya maambukizi hayo kutoka kwa mama hadi mtoto wakati wa […]



