HABARI

AMASON KINGI AMTAKA GAVANA GIDEON MUNG’ARO KUJITENGA NA MAANDAMANO

Spika wa Bunge la Seneti Amason Kingi amemtaka gavana wa kaunti ya Kilifi, Gideon Maitha Mung’aro kujitenga na masuala ya maandamano ambayo yamekuwa yakipangwa na muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kufanyika kesho Jumatano. Kulingana na Kingi licha ya gavana Mung’aro kuchaguliwa kupitia chama Cha ODM, anapaswa kuwa karibu na viongozi wa muungano wa Kenya […]

AMASON KINGI AMTAKA GAVANA GIDEON MUNG’ARO KUJITENGA NA MAANDAMANO Read More »

BELIO KIPSANG AWATAKA WALIMU KUJIANDAA KUANZA MASOMO YA NGAZI YA CHINI

Huku kongamano la walimu likiingia siku yake ya tatu leo Jumatano kwenye kaunti ya Mombasa, wadau wa sekta ya elimu wamekubaliana na agizo la rais William Samoei Ruto kuwa wanafunzi wa ngazi ya chini ya sekondari wasalie katika shule za msingi. Akimwakilisha Rais Ruto kwenye kongamano hilo, katibu katika wizara ya elimu nchini Belio Kipsang

BELIO KIPSANG AWATAKA WALIMU KUJIANDAA KUANZA MASOMO YA NGAZI YA CHINI Read More »

KCA YATOA WITO KWA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI

Mwenyekiti wa Muungano wa wanahabari nchini Kenya Correspondents Association(KCA), William Oloo Janak ametoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana na waandishi wa habari ili kupata taarifa kwa urahisi kwenye taasisi za Kiserikali ili kuwajuza kiukamilifu wananchi yanayojiri nchini. Akizungumza kwenye kongamano la waandishi wa habari mjini Kilifi kaunti ya Kilifi, Oloo amesema wanahabri mbalimbali kanda ya

KCA YATOA WITO KWA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI Read More »