IDADI KUBWA YA KINA MAMA YADAIWA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA KUTOA MAONI
Idadi kubwa ya akina mama kaunti ya Kilifi inadaiwa kutohudhuria vikao vya kutoa maoni kuhusiana na miradi ya serikali ya kaunti, kutokana na kile ambacho kinadiwa nakala zinazotumika katika vikao hivyo huchapishwa kwa lugha ya kingereza. Haya ni kwa mujibu wa mwanaharakati wa kutetea haki za watoto pamoja na wanawake kaunti ya Kilifi, Helda Lamek […]
IDADI KUBWA YA KINA MAMA YADAIWA KUTOHUDHURIA VIKAO VYA KUTOA MAONI Read More »



