GAVANA DHADHO GODHANA APONGEZA KONGAMANO LA NNE LA UCHUMI WA RASLIMALI ZA BAHARINI
Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amesema kongamano la nne la uchumi wa raslimali za baharini limekuwa lenye manufaa mengi. Kulingana na Dhadho kongamano hilo la siku tatu ambalo lilikamilika siku ya Jumamosi eneo la Hola kaunti ya Tana River limewavutia washiriki wa kitaifa na kimataifa. Amesema kongamano hilo limetoa fursa nzuri za […]
GAVANA DHADHO GODHANA APONGEZA KONGAMANO LA NNE LA UCHUMI WA RASLIMALI ZA BAHARINI Read More »



