TUNAAZIMIA UBINGWA MSIMU HUU – DAVID OUMA
David Ouma ambaye ni mkufunzi wa klabu ya sofapaka anasema anamatumaini makubwa ya kushinda kombe la Mozzert Bet mwaka huu. Anasema licha ya klabu yake kuyumba katika ligi ya fkf msimu huu vijana hao wa batoto ba mungu wako na uwezo mkubwa wa kungangania taji hilo kwani wanawekeza nguzu sawa katika kila mashindano ili kuibuka […]
TUNAAZIMIA UBINGWA MSIMU HUU – DAVID OUMA Read More »



