NICK MWENDWA AREJEA FKF
Nick Mwendwa amerejea kwenye wadhifa wake wa urais wa shirikisho la soka la FKF baada ya kujiuzulu miezi tisa iliyopita kutokana na waziri wa michezo balozi Amina Mohamed kuvunjilia mbali shirikisho hilo pamoja na Mwendwa kustakiwa na makosa ya ubadhirifu wa fedha za michezo pamoja na matumizi mabaya ya kiofisi. Katika waraka alioandika Mwendwa kwa […]
NICK MWENDWA AREJEA FKF Read More »



